WCB (Wasafi) Special Thread

Watakuja tu ila taratibu sana, wengine bado hawaamini kama JF imetoweka

Ngoja tuvute subira ndugu yangu

Sawa
.

Diamond kwa sasa yuko katika Tour nchini Marekani kama poster inavyojieleza