WE ARE A COUNTRY LIVING IN FEAR, SMALL THINGS CAUSE GUYS TO PANIC

… ile security drill ilikuwa KeMU juzi, nilicount wasee ka 5 wamevunjika miguu juu ya kuruka from 2nd floor za various buildings.
Mahali nilikuwa nimejibaza nilikuwa nishajua ile dirisha ntarukia in case niwaskie ndani building yetu

eeh ulikua huko? hehehe

…ushawai tetemeka hadi matako?
haikuwa experience poa

Yes…carsks/casks!

in other words you mean to say it was a near death experience, hio ndio hufanya mtu askie hivo

…I was actually asking God kama ako serious amenipangia nikufe na bullet ya Al Shabab
Its true you think about how you have lived your life
Kuskia ati ni drill nilitoka job straight hadi kwa pub,
after Legend mzima imeingia kwa kichwa na fegi ka 5 ndio niliweza kuongea, kucall wife etc
enyewe nilikubali mimi ni kiguaya (mwoga)

2 Likes

so ile video ya fight, run sijui hide haiku replay kwa kichwa you gather other hostages and take the fight to them? na vile wakenya walijichocha :D:D

1 Like

… inakuwanga, run, jump, jikojolee, omba Mungu, lia :smiley:

3 Likes

Do guys get compensated after such injuries (broken limbs) during the drills? ama ni shinda yako.

wale walienda hosii ndio walilipiwa bill
wenye ku damage ma laptop, kuloose ma phone bado wanahangaika na Administration
I thought wanafaa kufanyia wasee ka training kwanza then comes the drill

1 Like

Right after the Mpeketoni massacre i entered a mat heading to Westlands na nilkuwa nimedunga kanzu na Dish Dasha…Kila mtu alishuka hio mathree.

1 Like

that was wrong any drill needs to notify the people affected just before it happens…usually 24hrs in advance

1 Like