We are a nation of very small minds..

“pale” is also becoming annoying. eg nikiishii ‘pale’ Kasarani.

Niaje…aje wadhii. Ile war nitawapiga.

kila place iko na lingua franca yake.

  1. Living in Thika sheng ilikuwa kama ‘mnabongaje’, nikienda high sch huko Nyanza guys would say ‘ubongo-nade’.
  2. “Halafu”
  3. “Naenda hivi nakam”

When you start fighting little common things/acts which other people find ok in life, just know that either misery or loneliness has hit your poor piece of asss.
Next you’ll later keep disturbing people in public/family gatherings with stupidity such as sikunywangi sukari nipikiwe chai yangu kando…ooh iyo chakula kama iko na chumvi sitaki…oh sikulangi nyama…oh uyu msichana marashi yake ni strong… Meffi!

good thing you said ‘WE’

mimi ile kitu nachukia ni wale watu husema TOA FORM…

this is the most annoying phase kwanza worse ukiambiwa na mzoga hainagaa kakitu ka kuchip in

ingine ni Mukimet na mtu Anakuliza Mazuri, unajibu hustle tu…then mukiongea nyangau inarudia otherwise mazuri

Halafu kuna ile tunachukia Na nyeshaa na umekuja sleepover

"I tell you "
How I hate this term

“ITAKUWAJE?”

Aje sasa?!! Kukuwa aje? What the fuck is that?!

:D:D:D
The kiswahili version of it is common in your county …I hate it!

Ndakwira!

Bougie middle/upper class wannabes!!! Let people be!!!

:smiley: :smiley: :smiley: Tulia madam. Guilty tho.

hehe “niokotwe” wapi

Sparta, hiyo ‘mazuri’ huudhi sana. Hao wasee hufikiri mtu ameteremka kutoka heaven.

:D:D:D:D:D

“Wadau nimeland” hiyo phrase huniudhi sana…

:D:D:D:D
Otherwise?? Uko poa?? Form ni gani… Ukona mazuri…?? Mimi kuchoka nayo…??

Acha nilale before nianziwe :D:D
Nice time!!

Meffi. Tumia A Minus kusoma linguistics ujue how languages evolve. The branching leads to development. The mediocre that you speak of leads to creation.

But you want Kenyans to be the way you want them to be, siyo?

Muchinga, whats ‘siyo’? …its 'sivyo"

Sivyo?