Shega
Kama iyo swahili nimetumia kamusi online
Nawakaribisha sana hao watani wa jadi. Magufuli hoyee. Supadip lens bado yafanya kazi?
Kiswahili writing isn’t easy
hawa watu wapewe viti…
@admin you aint fair…mbona huwelcome brothers wetu wa kenyaspot pia na ilienda ivo???
Hao ni makauzi hawezi guza…
Wako uku though wanacheza chini mbaya sana
kwanza hao tena sana
Sasa mbona admin amewabagua.
guza=gusa
Thank you, watani mliomchinja mnyama Serengeti.
Kama @ Panyaste ako online sana
Unazungumzia Simba?
Panyaste ni jirani???
Mbwa koko!!
Waketi hukooooooo --------->
Khaaa!
Thank you brother!