Wema Sepetu 'ubonge' umeharibu muonekano wako

Haiathiri mambo ya uzazi kweli iyo operation, mbn inaonekana ina masharti magumu

Weka picha wewe tumuone

Nasikia kaawekewa utumbo kama wa kuku

Tuwekeeni picha…huku sijaweza kuweka picha mkuu

Hhhh

Jua lishaanza kuzama hivo

Kaenda kukata utumbo

Mange Kashasema ngoja tusubiri atavyorudi kwenye Umiss Lundenga.