Kwa hivo hawezi shuka nao? Huyo mjanja kweli.
Hio ya Ranieri is one of a kind. Am sure the board just looked at the clause, laughed out loud then just signed it bila maswali…
It’s intact didn’t push!! Ama unauliza kama niko sore from last night? I hardly get sore!!!
Its 2-1
My bad. was looking at Everton scores
Niliwaambia muwe watulivu. Tables might turn at any second…
Ni kukaza jo
Stop selling your cat, save it to catch the rats
enyewe sioni wakikosa kufunga
It’s FREE!! You too can partake
Ngoja Aston Villa wafunge equalizer. Hii team ya Wenger wasting too many chances
Lakini hii pande yetu tunafaa tuweke another goal. Sijawai amini arsenal with only 1 goal lead
i used to dislike benitez but today he is the best
Ref wa hii game ya Newcastle ni nani? @Okiya si umwone kando…
And your request has been answered by OG12
Hata nimewachana na game ya Arsenal.
Come on You Newcastle!!!
I wont! Save it …
Giroud anaunda cv ya next season
Giroud alikuwa ameficha hizo bao kwa socks? ndio anaanza kufunga wakati season inaisha