wetangula shakes like a leaf as dubai ruler arrives in kenya

Where is the leaf?

Bwana \

Bwana Wetaa aiseee

Ananifurahisha sana,ukimuangalia sura na anavyoongea kwenye majukwaa ya kisiasa huwezi amini kua ni tapeli namna hiyo!

Ile voice note ukiisikiliza halafu ukaja kumuangalia Wetaa akiwa anafanya yake,utacheka sana!

Hii dunia wasanii tupo kibao,wakubwa na wadogo!