What can 5Mbps speed do?

Like render farms?

eg this https://www.zyncrender.com

on most ISPs the download speed utaona ni around a quater of what you have paid for, sometimes it also depends on the host server kama googledrive, miscrosft na youtube hua naona ziko sawa

muhimu

Ooh…pole peasant.

Seems neat. Have you tried using their services?

I also ran out of space

With this speed TV iko netflix, lapi iko pornhub and IDM iko busy…no buffering and please wait shiet…

[ATTACH=full]114576[/ATTACH]

Talkers na their porn hehehe

Mkubwa,unaeza nionyesha your animation projects?

Buda si ati mniite birrionaire lakini kuna venye wasee wa mtaa walibonga na wasee wa saf wakaweka marouter fulani kwa mapole na mawall around the estate, net ikakam 65mbps no lie, na unaconnect na wifi esto mzima ulikuwa unafinya vida ile line yukuwa kwa shadow inatoka kibolt mpaka mwisho na hata page haijamaliza kuload, haya ff kama an year later hizo router i think zinabet juu ya elements, mvua, jua, sielewi technicality yote but net ni slower but bado inasema 65mbps na kuna time inakwara tu kufanya kaa siku mzima inaanza kufanya 2

mimi na animation siku hizi hatupatani. I have a problem with rigging. Niko more on arch viz siku hizi

Si ungefanya animation peke yake.Yaani ukuwe unaanimate rigged characters only, then ukiiva uanze kujifinza rigging mdogomdogo?
So uko poa modelling?

yeah modelling niko sawa, both organic and Hard surface.

Fiti.Nikijipanga na comp poa,utanirecommend best tutorials za animation,guessing unatumia Maya.
Ushawai tumia Realflow?

that’s a dynamics software. Dynamics niliwachana nayo due to hardware constraints

fiti mkubwa