What happened to the old Kenyatalk gang?

mushatha

It’s called evolution, maybe if you sat in a history class you’d know that shit evolves… Kwani unafikiria ukitoka tulipause tukungoje?? Identify yourself @jerrydubiz first of his name, lord of maturity, protector of all things logic, leader of ktalkers south of the Sahara…
Meffi

nyamagui, kanono alikuwa jela akichunishwa managu na Akina Abdullah

Kumanina rudi utokako wachana na ktalk ya leo

Zama hizo kuna celeb alikuwa anaitwa Atwoli alikuwa anaishi rm 254

Dubai jail.

Na wale wa mashada.com tukae wapi?

Kule vip/maanzoni wazito hukutana, watarudi tu , ukiona like kwa hii comment jua wanachungulia.

Hehe Njeri Booties na lipsThick! :smiley:

hii jina ilinimaliza from day one:D:D:D:D:D:D:D karibu @jerrydubiz

Blame it on @Wambusheri na dem yake @Wamaitha

Hizo ghassia alphachieth zimesumbua sanaaa