What is this place?

nilikuwa nauliza huyo jamaa amesema si wa Kiina Ngoofu…

Inakaa kama huko kwetu kwa mashamba ya ‘scheme’.

My Kenya region ndo ucha buda.Do I look like this barren place really?

Nimeamka wacha niangalie

Pale tunisia kwa kamnjoro wa TQ

@Nefertities @Nameberry1 what happened? Net ilikataa kabisa?
[ATTACH=full]13329[/ATTACH]

1 Like

:frowning: procrastination … will try and be better tomorrow

Yaani umenianika? Weka link ingine for the challenge…

Leo I must