What sonko has achieved it will take the 46 governors 20years to achieve

Its good for them as they are hiding behind a keyboard
Ningekua nawajua nawatafuta niwapige like a snake.
Kitambo Sana niliambia panya @Deorro itengeze e-slap ya kirushia noogle kaa hizi

wewe kwanza ulikuwa number 2 jubilee supporter after Spear. unafaa upigwe sweep kadhaa na mangumi

Sonko ni wa pawa…maji haijawahi kosa kutoka aingie si kama ile wakati wa Kidero

Number 3 was @Nattydread

Song’ngo is a cartel himself. Alone.

Ile sinyore yako ya Trumpland ndio mambo biad, sijui unatumia ile ya kulala inaitwa Trainwreck Hadi Trumpiste akakugrab by the a$$ hauwezi lia ati #me too juu ya vile umemnoki yako yote.

:D:D I’m against the misinformation peddled here by the Anti America, anti Trump brigade.Na dhambi zake mmeshindwa kusema ni gani.

Mjamaa anaongea meffi kuhusu U.S na yet ameshikilia greencard yake with all his or her might. Wengi wao hapa wako majuu huko. Hypocrites.

Na ukiwaambia warudi Kenya… shait!! … Like makonika would say.

Is it a crime to love your country?

Kumbe ni wale wanauma matiti za mama zao :smiley:

Sonko for President

Na Barbara je??? Nyweeee. Kidero had a PhD in pothole retention. Every damn road in Nrb had potholes. It was terrible

Sitaki sonko awe president kwa sababu ya the fear of the unkown but he will be president after 2032

hata Oparanya ako mbele ya sonko na mbali sana…I wish Oparanya had an active media team kama ya sonko na Alfred mutua.

He’s not perfect. But he’s done okay. There’s still challenges he needs to quickly address like garbage collection, keeping every part of the city clean, and Dandora dumpsite.

usiwai taja that fraud Mutua in same sentence na Oparanya

mutua na sonko are number one when it comes to PR…they have great teams…I wish performing governors had similar teams.

shida ya old kenyan politicians is that they dont know and dont want to learn how to use technology to reach and connect with more people. A good example is ODM

Presidency??? waaa…

I would vote for him

Sonko amejaribu kwa kweli. .not like the kidero chieth

I didn’t know ya kwamba kukamua two sitting women reps is an achievement