In my neighborhood, watu huwacha mlango wazi (not wide open, but bila kuweka hata chapi) na wanaenda kufanya shopping kedo 10 miles away. Mind you hakuna fence, CCTV na hapo mbele kwa lawn kuna barabara. They don’t really have to care about burglary because inhabitants are like 85% white na bazungu sio watu wa kuvunja vunja nyumba za watu ovyo.
Kwani unaishi gated community orange county?
Abba
July 9, 2022, 9:09pm
23
In my neighborhood, watu huwacha mlango wazi (not wide open, but bila kuweka hata chapi) na wanaenda kufanya shopping kedo 10 miles away. Mind you hakuna fence, CCTV na hapo mbele kwa lawn kuna barabara. They don’t really have to care about burglary because inhabitants are like 85% white na bazungu sio watu wa kuvunja vunja nyumba za watu ovyo.
Hapo ni wapi ni come. Hapa Africa ni noma. Usipovamiwa na wezi or simba, mosquitos won’t spare you
Thats just a homeless person
In my neighborhood, watu huwacha mlango wazi (not wide open, but bila kuweka hata chapi) na wanaenda kufanya shopping kedo 10 miles away. Mind you hakuna fence, CCTV na hapo mbele kwa lawn kuna barabara. They don’t really have to care about burglary because inhabitants are like 85% white na bazungu sio watu wa kuvunja vunja nyumba za watu ovyo .
The real reason is that 70% of home owners have a firearm in the house. As long as you attempt to break in, they will shoot you and won’t be prosecuted. So many would be burglars have lost their lives this way. Unaingia kuiba DVD player, you come out maimed.