Which media house in kenya is not partisan in terms of news reporting?

Move to Gotv

Hawa kuna wakati waliniibia subscription ya two months consequtively.Nalipa then a day after paying wanakata wakisema sijalipa,naenda hadi Westi ku complain,they restore it th3n the same thing happens.
I have their decoder and don’t think i will use it anymore

Sijawai kuwa na hiyo shida. I believe if walikuwa hivyo, walibadilika. Sijaona shida yoyote kabisaa.