While in exile....

Intresting

Usha

usha msoma kumbee.

Usha

usha msoma kumbee.

Karibu

tumekusoma mzee wa msata

Amen

Kwa hio Story za uchawi hku hautupi

Hahaha… Hivi yako ya Bongo ni ipi?

Hahaha

This could be Mwanyasi…! Right?

Ni mimi kaka… Inshallah ipo siku tutarudi kwetu

The sun is going down to Chiolu

Tatizo hata kukaa kimya hakutoi guarantee ya kuwa utakuwa salama. Shetani hasubiri hadi umchokoze; mambo ya kishetani ndie asili yake. Hata wote tukikaa kimya ataanza kufanya ushetani kwa kuwa hakuna kelele za kumshangilia.
Hata tukimshangilia wote atatafuta mtu amtwange kwa kuwa anashangilia vibaya. And the list of trivial excuses to get someone hurt will go on. It is his satanic nature.

He won’t stop; he needs stopping.

Ngoja nipashe githeri cjui hii kitu vile mnaita maana huku mahali baridi kale nasikiaga ukinyea kwa kambi utarudi kuzoa mwenyewe usiamini kila jambo hili nalo nasikiaga

Huyu kwenye picha anaonekana kama Mshana jnr wa jf kabisa

Hahahaaa

Inshaallah Mkuu

Ha haa haaa mkuu naona unaufahamu mwandiko