Whoever is in Eastlands, come for free drinks.....

Wewe ndio unatambua hii maneno mjamaa…

wekelea hio pay bill hapa nikulipie,sisi hukunywa tukitaka na hatusumbui

sina haja na pesa yako kijana, your salary could be my son’s pocket change. nunua avocado uweke kwa cabbage ukule na ugali ulale kesho uamke kwa muhindi umtengenezee chapaa

Peasant detected, shoti ni one of the few billionaires huku ongeza ochithunder

i own a butchery ,itakuwaje nikule cabbage kama sungura?na wewe peasant huwa unasumbua sana

hakuna kitu haka kamtu huwa nayo ni za bibi

Kesho naweka operation rudisha handle ya wakanyama utulie na niongee na injinia @Randy upate tender moja ya kusupply mawe.

hahaaaa, this is hilarious :D:D:D

hutoshi mboga,

So much for a free drink.

Westlands 18___

No