Why do guys like loud music during sex

Kwan me nimesema naumwa

Ushemej had huku tena??? Shemejio kwa yupi??? Mekuja baada ya gharika kuu ya tcra hahahah

Kweli Hapo …
Na jinsi vile kile Tendo huja na Mziki wake asli mahanjam na wa kipekee…!!

Kuna dawa aina mbalimbali…kama vaccine vile sio lazima uumwe.

Mimi mtu mzima…! Nimekuelewa tayari.

. Anyway unapenda music gani?

Si ndio hapo hata huo mziki hutausikia ulipoanza wala utakapoishia

Hahahhaha ile ya taratiibu usingiz unakuja ukisikiliza

Naaam…
Shabash…!!

Me dawa natumia nikiumwa

Mimi napenda acappella ya latin american music…!

Ile ni balaa yaani!

Hahaha

Me hata siitambui

Si mbaya kujifunza styro mpya. Mbona hunyiti hizi vitu. Mjulubeng ni dawa.

Le madam bhana!

Utaijua tuu if you are interested.

Mwomboko.

And hiyo ndio point kuu siko interested tuu na hiyo aina ya music

Lugha gongana baba mjulubeng hiki ni nini

Uko tu interested na mjulubeng.

Ni dawa.

Alright…

Stick on what you love.