Why/how did this happen

This is the main cause of accidents za trucks lakini hawaskiangi…any gari on free gear mteremko is as deadly as a missile warhead

Hizo engine or exhaust brakes ndio sisi watu wa footsubishi huita freno?

@Walker stick to your lanes and continue walking…some names are like a curse.

masweep kali nayo hehe

kuna lorry ilichokeka ivo last year hapo salama. Ilikua imebeba njugu

Look who’s talking about lanes and names

hehe
sisemi kitu.

kwa hivyo raia ilifurika hapo kula njugu,

polisi walikataa.

You must have been very disappointed by police action.