WHY IS NISSAN ADVAN SO CHEAP

anything Nissan spares zake ni ngumu.i can attest

The car a head is Toyota !

Ulisaidika na spares ya truck mkubwa

If you must quote do so properly…

The car in front is always a Toyota.

Pia Honda fit zimekuwa mingi

bado.nimepata another from Kampala awaiting delivery

can you guys recommend Toyota Prius hybrid… pros and cons zake ni gani

Going forward the tiida hatch back will be the new toyota e110. Bei sawa na quite roomy. Why buy a belta and you can get a tiida, why axio na unaweza get sylphy

Its look alike Mazda familia na Mitsubishi lancer are even cheaper you can get them for as low as 490K kutoka Japan I.e .Nissan lafesta being inashuka pia am seeing KCNs going for 670K na muuzaji ako na profit yake kwa mfuko

Watu wamegundua it’s a good car ya kujijenga.
Very spacious I must say.
cc Fit Club - Chairman

@jaymoh Mungich mijinga njoo

Yaani umezoea kugongwa hadi ukiuziwa bei nafuu unashuku?:smiley:

Don’t do it. Usijaribu.ile siku battery itachapa then 1. utalia 2. No qualified mechanic can fix such apart from maybe Toyota dealers.

Apo kwa (cheap especially for a second hand vehicle) sijaelewa si I thought second hand vehicle are supposed to be cheap

Why is it cheap in comparison to other cheap second hands. .hope it make sense now

The Kenyan market is all about demand. Ten year old Subies are being priced at over 600k which is sheer madness.

Oh yeah nimeelewa sasa

At the same time newer ones that are imported are cheaper so you wonder why the greed with old ones

nissan ni gari imbo kiasi. build quality is poor. toyota has average build quality, but newer ones seem manufactured under tight budget. You cant older toyota reliability. especially older toyota built in or before 2007. gari ni mercedes alafu unaiweka vizuri.
Maze toyota engine na transmmission haisumbui. Lakini mara bumper, mara taa sijui zimefanya nini, mara ac, mara plastic latches and locks za upholstery zimevunjika, mara glove compartment imevunjika hinges for no good reason, bushes zimechapa kila time, mara stabilizer bar inalia, mara balljoint zimechapa, alafu bearing, alafu bulb, alafu clamp ya bonnet hood imeenda, alafu wiper imeacha kazi, alafu plastic cover za underside ya bonnet zimepotea maji inaingia kwa taa inaungua, alafu fuel gauge imeacha kazi, alafu sijui nini nini nini. The cost of all this is much more than buying an engine many times over.
lakini CEL hutawahi ona.
Nissan nayo ikizeeka kiasi tu itakulaza msituni heri toyota. body na nissan pia sijui ni kama aluminum foil.

reliability Omwami.