Why uncle Thio hates me to date ...pt 2

hehehe…

hehehe…
nice finish.
atleast ulibakishia anko slice hukubeba the whole bread

2 Likes

:D:D:D:D… good hekaya

1 Like

Kush uko juu
Sijui nikupe title gani

1 Like

buda nimefuata hekaya zako na sheng yako ni ya bafo sana.
Kwanza ile hekaya ya vile ndula zako ziligoswa.

1 Like

Unajichochanga na hauna mawe ya kupea mtu title . Hebu pea @mabenda4 tuamini we ndio title disher

1 Like

Ponyi…we used to use that back in 1972 when Buruu was still part of the park.

Nice kekaya though…

2 Likes

No
Tictator keti palee - - - - - - - - - - >
[ATTACH=full]36997[/ATTACH]

2 Likes

Kush bado yuko very single. The joke is on uncle Thio :wink:

1 Like

Ngui

Ona mwingine the last time nilisikia Io jina ata cjui ni when.

2 Likes

Buda kenye naeza sema ni “old is gold” . Sasa nikiandika za 2016 akina @Ka-Buda na village fossils wanaeza shindwa ku.follow hekaya.

1 Like

Eh!!! na hapa si watu ni Wasencha.

@Kush, yaani wewe apana tambua uncle? N yet Uncle ni kama daddy yako?
This is a new high… kwa kijiji.

1 Like

enda ukatayarishe TBT wacha maneno ya kuahidi watu title hazifiki…

kanono hiyo heka iko juu sana…

4 Likes

TBT is ready, waiting for time ifike.
Mambo ya title gojea uone

2 Likes

hehehe…

BABA , NIRUSHIE MOMO CHAIRMAN

2 Likes

Mheshimiwa kush kanono hiyo hekaya nidiambo

2 Likes

Kanono ulitembeaje hiyo distance yote from boma to nyakio to club to kichinjio to boma, na bado ukapata nguvu ya kukamua