Wildbeest amekataa kuingia kenya

mta kuja tu, ata hizo wildebeast xiko jiani, just a slight misunderstanding of nani analipa

They will be there on the midle of august

Siwanipatie hiyo kazi niende kuwaleta? Nikiwa mtoi nilikua hodari kuchunga ng’ombe.

:D:D:D:D:D:D simba zetu ni muoto wa kuotea mbali haziombi b4 zirarue wildbeast