Woofer quality

bora tu isilete hitirafu.repair ni stress

Navile najivunia kukuwa na moja,sasa umenitia wasiwasi

Anticlimax hio.

Sioni AMG batallion Kwa hii thread ama kelele ya slayqueen inawatosha ?

Idiot …We had another thread which touched on this .Ama you want regurgitation just for the sake of it ?

:D:D:D

Hizo value fake huwa imeandikwa kwa radio ya sonitech na others eti 5000 W P. M. P. O when the actual power ni 1 to 2W max. Hizo speaker anauliza ni 20-80watts only.

http://www.fullfataudio.com/products/ffa-10000/

Boss, you are using the international standard. Kuna Luthuli standard where the smallest ‘woofer’ has 5000 watts,(2.1 channel system), then 10000watts (3.1 channel system) etc

Ampex A18 3.1 CH MULTIMEDIA SPEAKER SYSTEM 12000W[ATTACH]247541[/ATTACH]

better than Vitron then

Ampex iko down nowadays. Subwoofer ya Keja yenye imeshikilia sikuhizi ni Royal Sound. Followed closely na Sayona.

Sura ya royal sound ni mbaya kama ya Itumbi, but the bass iko juu sana.

This guy is not looking for those subwoofers za 12 inch and amplifiers za Pioneer, anatafuta kasub ka keja ka kueka reggea akinyanduana.

Hii rating za ampex ni za kuuza, kudanganya mafala iko na serious music. Those plastic contraptions cannot even deliver 500W.

Ukitaka real rating ya 10,000 W enda pale anisuma Kimathi street wakuoneshe Sony “man with the bass” za kitambo that used to reach such power. Nowadays they dont sell such Systems.

btw tofauti ya woofer na subwoofer ndo gani mkubwa

Kwani kila watt ni bob?

google is your friend . ama ungetaka kuskia from my own translation?

nataka io yako

hehe…sawa. skiza kwa makini. a woofer is even noticeable by eye. they have a smaller magnet than a subwoofer. some subwoofers have very big magnets almost the same size as the cone. a woofer operates on 40-2600hz and a sub woofer operates from 20-200hz. this means the sub woofer is able to capture those very low frequencies that a human being cant hear but u will feel them by vibration. hata wewe najua kuna speakers kama zile za home theaters huwa unaskia base na maskio. hizo ndio woofers. when presented with a frequency lower than 40hz hutaskia kitu. na hapo ndio sasa ile base powerfull hukua. hapo sasa ukiwa na sub woofer inacapture hio base na hapo ndio huwa unafeel that vibration effect from even windows,and even moving small objects. ama kama ni kwa matatu unaona ina vibrate mpaka body. sasa kama hujaelewa sioni vile naweza kuelezea tena.
[ATTACH=full]247707[/ATTACH]

nimekujibu hapo juu soma

Ungemwambia tu aende crusade aelewe

definitely singepata ii kwa google,thanks