Working Class Women

Tene watu kama wewe tulikua tunaita SIMBA CIRCUS, kama hamjui maana niulizeni

Women wako over 30 usiwaindulge sana. They’ve messed up with older men during their best years.

The only man who qualified to be called ‘cute’ was Mandela. And he’s long departed from us.

2 Likes

Mungala mbuvi said, women are evil when they turn 35 na hana mtoto. Expect fireworks kama you are dating na uko na gari na kamfuko kazito. Acha tu tuanze kupanga mazishi yako.

Hata baada ya hekaya ya venye talkers wamekuwa henpecked na kuzungushwa hata 9yrs wakifuata kapaka bado hujapata funzo. Kweli majuto ni mjukuu.

very true. that zone ni hatari sana. ni kama petrol station na bomb. kutoka lazima utaungua.

nitarudi masters ata mimi hii maneno inifanyikie.

2 Likes

Hehehe… Kuna siku nimewasha wiper ya RX7 halafu my female passenger says… Ohhhh, such cute wipers… That word ‘cute’ marked the end of the evening…

1 Like

RX7 mi husikia hukunywa kama lorry

Hehehe… Hii ni ile ya 78 ya carburettor. Even worse…

:rolleyes:

https://www.youtube.com/watch?v=XcITmhLvKi0

Gotta love that sound gari za carb make. Wacha ikunywe

Now just add the hiss of a turbo…

Awwwwwwww… :slight_smile:

I am just telling you that it’s not desperation.

How are wipers even cute?

wanaume pia hukuambia ivo:rolleyes:

Asking for a friend