Niko nyuma ya France lakini wachukue extra time. Final ya WC should not end in regulation time just like heavy weight boxing should be decided on points.
hatujasahau…
Mimi furaha yangu ni kuona england ilishidwa.Tukikuja kwa mechi ya leo.I usually support france but i find their matches boring. Sijui kama ni hizo nguo zao ama ni nini?Leo nataka tu kuona croatia imeshinda so that we get a new world cup winner.Ni hayo tu.
??
whisky ni time ya mechi… ukifungwa unaweka tot moja likewise ukifungwa
Ni kama umerewo tiyari
Amefungua tot kabla ya kufungulia mechi :D:D:D
na hajala. saa ya game atakuwa blek out:D:D:D
typo bana… toa w kwa moja
Belgium. Niliona @Abba akisema ati huyo ni mimi.
ION- Ati ile channel ya supersport inatangazwa na Wa=Naija ni “Pidgin Commentary”
It’s coming Home!..
( England’s neighbor’s home).
Kylian Mbappe to score twice.
France 4 : Croatia 2
Noogle wewe. OYA THIMO…
Am with Croatia
and the ball will be golden in colour…
Naona wafaransa wameingia bus.
@admin what does it mean when a thread has a sticky pin but it doesn’t stay at the top such that one still has to look for a thread among others?
Inakaa watu was Croatia tuko wengi. Down with the colonialists.
Niko nyuma ya Yugoslavia yani Croatia