Wristwatch issue

@kah tony nunua watch ya maana. Kama wewe ni peasant chukua Casio ya 5k ama Titan ya 15-20k. Wachana na hizo upuss za mia mbili za Tao kwa gunia.

Kama wewe ni birrionea nunua Rado ya LeoK

nitapiga picha ndio mjue hamjui…ng’ombe nyinyi…comment 21 ni meffi tupu

WATCH SIO SHIDA…NI BATTERY…

Buy a timex, Casio, seiko, citizen etc from Amazon. I have one going for the third year, water proof part makes it my favorite in the pool.

I don’t need this advice…tell me about the battery

Chieth nunua watch ya maana.

huyu jamaa ni arrogant izo advice haziwezi muingia hahaaaaaaaaa …if you come for advice you should do it with clean hands

The fact that umeuliza hivi for the umpteenth time means hapa watu hawajui. Either buy a new watch ama tafuta a watch repair guy anajua chenye anafanya. There was one hiyo area nyuma ya Stanley hotel. Mpelekee watch.

Unaniita arrogant juu umevaa big shoe?

Naona ashakuja

huyo ni wife wa wenyewe bwana

Nina watch ya 150 Bob ya China na sisumbui:D:D…ikisimama naigongesha chini nanunua ingine brand new

Hii kijiji shida ni huwezi own kitu watu wafurahie na wewe.

If you own a probox and you ask for help. Help comes from even people who’ve never owned a car.

Makosa ni Ukuje useme I have a BMW/Merc/Range Rover and bla bla bla…

.

hii huwa nakimbia nayo na wewe hata kucrawl huwezi ukiivaa…lanes my fren …lanes

Mbona wataka nipandiza Ngazi?

Hehehe chukua Tissot

End of year sweeps zinatembea

What is happening in this village, surely people are spreading Christmas cheer. Ningekusaidia ni vile mimi hutumia simu

Nikikwambia moja ya daily ni Tissot utaitikia ama utaendelea tu na matusi ?

lanes za ma-midget ndio ukae mrefu…sole kubwa alafu kuzidisha kiatu inakaa number 7 ya madame…

Get yourself CITIZEN Eco-drive. Charges with solar. 10years and still going and I put it on daily.

100% this hit my mind immediately I read his post then came down to see your reply