@WuTang

hehehe…nimekuwa fala_12 tena? huyo msee wa chrome nami ni kama ardhi na mbingu

Hehehe sawa sawa jamaa nakusumbua tu

Leo watu ni walefi sio hapa tu pekee hata huko kwa wakubwa.

najua, hangover ndo zanitatiza

hiyo imeenda though nilipata jibu

Several Somalis have been murdered and others injured.
No one likes these Bingwa relatives.

wapi huko? VIP section?

Hujaenda patrol bado afande? Tuma kakitu nikule kalunch omwami.

Mimi na patrol hatupatani trust me ,leta picha za kienyeji za southafrica.

These guys wana tabia mbaya sana. Instead of focusing on the thread wanaanza za ovyo.

unawaelewa tu. lazima wa-contribute thread ya mzito…hata kama hawana material…:D:D:D:D

wakumbwa mwache kunisumbua nikiwa na hangover. sijui niliweka wapi funguo ya bedshitter asubuhi

Now you have lost everything, this includes your handle, pink.

mumunya whisky ya parish pole pole padri

:D:D imagine hata alinitumia pic yake full size

Hahahahaaaaaa…

Eish. gudu wan.