YA KUFUNGA MWAKA: Of the infuriating lies of the fundis

hekaya mzuri

Punguza hasira omwami.

:D:D:D…

:D:D:D
Nice hekaya @Amore

:D:D
Lakini wanaume ego si zimeletea nyinyi mashida

Bila ego ndio unajikuta unapigwa na unanyang’anywa bibi.

Hekaya swafi:D:D…ata bila location, I know your identity

Hapo kwa kudanganya wewe ni polisi imenikumbusha nyuma. I am in this ka small town nafanya ka kibarua kiasi after highschool na each month singekosa ka 20k and this was big money since sikuwa na expenses. Was living with a friend kwa plot yao and the mother would give us breakfast and supper na kazi nikutafuta lunch. Me and my friend were always out drinking my salary. Sasa pale village nilikuwa na confuse watu juu nakaa too young but pesa natumia kwa pombe si mchezo. One day I get into an altercation with some village tout and a riff Raff na Vita ikaanza hapo club. Mimi kwa Vita nayo nakuanga undefeated champion. Fixed the motherfuckers Hadi ikabidi wahepe watafute silaha ndio warudi. Pia singengoja, dying from panga cuts or stoning is not my idea of a good death. Nikaishia kwa nyumba and left my friend drinking. Vile maboyz walirudi, beshte yangu akawachapia wanacheza na fire. The guy goes ahead to tell them I am a CID doing some undercover work. Boy akawaambia ata mama yake analipwa na gava kunihost mtaa. Wale riffraff walitia baridi we would meet kwa barabara they divert to a different way. Once did a kunguru wa hiyo mtaa, then she tells me anajua I work for the pigs and I should try get her a job. Tuseme my short stay there was peaceful as everyone believed at any minute I could call in the Calvary should anyone mess with me.

:D:D

Congratulations

:D:D:D:D

Ki**yi wacha zako

Congratulations again

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: Noma!!

:D:D:D:D

Unajuaje hii fala

I like your narrations, effortlessly captivating.