Young Africans Special Thread (Uzi maalumu kwa wana Yanga)

Kama mie kaka. Na hatutakaa tujutie.

Kabisa yaani mpaka mwisho Yanga nipo

Bi Hindu fc wanaendeshwa na akili za Manara kwa kuwaona Mbumbumbu

Yanga afrika timu ya dunia

Yaani unaweza simama na kusema maneno hayo? Simba zaidi ya kukinga mikono kwa MO Dewji mna chanzo gani cha mapato?