Yule Mboiz wa Kwasabun

Leta hekaya ama uitakin kwa ngotha yako ya cowboy

You sound familiar nugu

Mimi niwa grogo massive

Hehehe i can smell my kind bro. Grogo ndio tulikuwa tunaendea moody back then kupeleka oriadu.

Hio place ilikuwa noma sana huko chwadi ni first class honor

First day kuendea karibu ni faint. Hio room ilikuwa na fumes deadly.

Kuingia grogi Tulikuwa tunatembea juu ya hio hio pipe kubwa ya chuma iko across hio mto. Unaijua?

Huko Grogi ni kubaya nowadays, hata watu hutolewa kwa nduthi juu kama inaenda. Hata watu huenda kutibiwa hapo Provide huona shida sana. Though kuna karao anaitwa Galgalo anawamalizia sana.

Waa am lucky to have emerged unscathed. Kulikuwa na mawalalo moto pale mosque ya koch. Hio mtaa ni ngori. Enzi yangu kulikuwa na karao alikuwa anaitwa batman. Moto ya kuotekea mbali. Hakuna jamaa angemshinda mbio

Kwanza hio area ya mosque kuna guns hutoka hapo, vijana ni bloodthirsty mbaya. Hata mchana hio street kupita ni risky sana.

Kwani those areas will never change? In the late '90s kulikuwa na waborana wengi armed na sumbua hio area ya mosque. Walikula copper saana one alikua anaitwa Adow