Zappa

Hii ita fire soul mbaya sana Sir

Until I started consuming responsibly zappa imenifanyia vituko boss

:D:D:D
Comments zenu zimenimaliza. Kwanza hiyo ya @pipinono kuamka bila meno. …
Thank God sikuwahi penda hii kitu.

:smiley: :smiley: :smiley:

Kuna zapa ya matajiri na ile ya peasants vile tu kuna Napoleon originally na hii yakina culture na pia kuna chrome original na ile ya fala 12.

Kwani hi zappa inakuwaga na ulevi size gani…

Anika bei ya original za hizo tatu umetaja Afade

Wacha tutafute wakathabi yule waklost alete price list.

:D:D:D
Hii thread noma sana. Mimi iko pombe tatu niliheshimu and only drank each one once na ikawa mwisho. Old Monk, Safari Rum and Zappa. Old monk nilikunywa nikiwa fresher hapo UoN. Hangover ilikua noma hadi nikaenda hosi. Wakati naonekana na Dr nikamwaura kwa labcoat yake. Safari Rum nilikunywa Stella Awinja hostels tukiwa strip poker. Nikajipata nang’olewa kwa bathtub ya hio hostel nikiwa uchi kuzaliwa na kutupwa nje na security. Zappa tulichapa na beste fulani tukabebana tukianguka hadi hostel. Asubuhi jamaa ananiamsha akiuliza kama nilimchapa akilala coz tulikua na tu injuries and the whole body was aching. Noma sana

Try it Sir, alafu ulete hekaya

Faxe 5…Ni hayo tu kwa sasa

…to culminate the story nilipata “Si Na tabu” kwa keja yangu!

:D:D:D
Wacha small doses… wekelea hekaya yote

Enzi yangu zappa ilikuwa inaitwa sambuca, hii ni panty remover kabisa

There is nothing as bad as aged whisky. Crown Royal -Aged 18 years. My first intro. I entered a party with West African coworkers. I was invited because Kenyans like Johnnie Walker . 8 Oclock we start slowly after a light meal. I just drunk like normal. 1 shot, 2 shot,3 shot. Kumbe this shit needs to be diluted at least in half. I found myself in my couch with carkeys in my hand. No recollection how I got there. Looked outside my car is parked clean. No hangover. I cant remember anything past 1 hour at that place. I dont remember getting high. Just a slight buzz like after 1 beer at the local. No idea how I drove through those traffic lights. I looked at my phone I had sent texts all night to my exes.

Usicheze na kitu humaliza joints, utakaa na mrembo halafu next thing you know hauna nguvu

Kule Mombasa nikakunywa napoleon ya kina@culture on a school trip and I wasn’t yet conversant with those streets. It was around six when I drank but nikaamshwa keshoe chini ya a lorry. And I don’t know where the fuck our hotel was. had to chill hapo karibu Fort Jesus coz I knew we were supposed to visit the place. Napoleon=saitan.

Sumu hiyo

Sambuca is the devil’s drink, it brings out the worst in people, Zappa Sambuca imewekwa flavour, mtu anaweza piga tots kadhaa, if anyone tasted pure aniseed Sambuca they’d never touch Zappa again.

kile hii pombe na napoleon ilinifanyia mimi huaibika kusema hadi wa sasa