Zuku has introduced 250Mbps

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Nitaanza hivyo

Kama safcom wako area hama tu

1 Like

Using Safaricom 10mbps, been getting 1.8MBps on torrents at night…

[ATTACH=full]87002[/ATTACH]

250mbps hiyo ni noma, its perfect for apartment blocks guess that is their target!

Hii ni site gani ya kucheki speed

hiyo ya safaricom inaitwa nn?

Ni ile vuma@home

speedtest.net ama download apk

Speedtest.net

Utamu wa zuku ni higher speeds over 10 mbps since huwa na low subscription(bandwidth)

1 Like

10 mbps yao ndiyo inalipishwa 3500?

hata ya Safcom

Lakini coverage ya safcom fibre iko somehow limited ama?

walianza late.

2 Likes

Ile service yao najua ni ile ya Nyayo.

Nyayo was the pilot estate, siku hizi wanaexpand hata walienda kwa akina @spear

1 Like

Zuku’s introduction of higher speed is something to be applauded.[ATTACH=full]87019[/ATTACH] [ATTACH=full]87019[/ATTACH] [ATTACH=full]87020[/ATTACH] [ATTACH=full]87020[/ATTACH] However i still think there is a catch. Bei zitapanda soon. No complains as of now though. My speeds seem to be ridiculously insane

4 Likes

Yep chini ya maji (net pekee yenye hawatangazi).Triple play yao huanzia 15mbps ya 4799

1 Like

Vaa helmet. Nimeweka target for Hii Tuliona Forces…
[ATTACH=full]87023[/ATTACH]

1 Like

Bei hazitapanda, saf is offering 10mbs for 3500, msee kama mimi I will just switch wakifika hii mtaa coz. speeds za saf. ni assured na uptime ya saf. ni better kuliko ya zuku then I pocket the 1k. Streaming 1080p only requires 5mbps, so sioni vile increasing my speed from 15 to 20mbps makes my life better.