Bank sharing information

I think most of our banks in Kenya , employees share customer information to Fraudsters, I did some business and got paid through KCB, banae Fraudsters are having a field day in my safaricom line , sending me messages

It’s really bad, kwani bank employees wanalipwa vibaya kama walimu? Those people used to be respected back in the day kule 2010

This one of them

Kuna time pia, I almost gave out my pin, it was a lady , eloquent in English, who called me directly, claiming I hade to change my bank pin, because they were upgrading the system, funny thing is, my mobile banking got blocked, meaning someone was trying to access it, but used the wrong pin

1 Like

Unakaa buda wale wazee wanatumia katululu. Meffi wewe

1 Like

https://twitter.com/KCBGroup/status/1534898104587124737

Aaaargh!! umenikumbusha Equity bank walinihepeshea 400k plus…manyang’au hao…

Ilikuwa mid 2018, chuo ilikuwa inafunguliwa kama next week ivi, na pia nilikuwa nmepata shamba fulani ya punch so nilikuwa nafaa kulipa deposit juu tulikuwa tusha elewana. So sato nkasho wife aka withdraw doo ya mtoi ya chuo ashike books, alipe fee na kadhalika na pia atoe doo ya ku manage stuff kejani. Tulikuwa tuna stay Saika.

Wife akafika pale Kariobangi branch (hio branch ndio ilikuwa yangu ya kwanza kufungua account ya benki nayo nikiwa student in 2006). Wife majioni akanisho account ikona insufficient funds. Nkamsho nitafika huko. Kufika huko nkatumwa kwa branch manager (madam fulani) anajifanya ashikanishi. Ananishow account anadai mimi ndio nme withdraw. Nkaona na waste time kufuatilia na nina shughuli bado za mkwanja, nkalenga tu. Nika hope I will recover. Wife alikuwa na stress saidi…nkamsho awache wasiwasi tutafuatilia na zikilost “its just money”. Hawaja nikata mkono.

Nilitamani heri hio mkwanja ninge ji nice tu ikatike. Niliboeka ka wiki tatu na nkaomba God ani help nisahau hio maneno kabisa. Na niliishau kabisa. Tho ilinirudisha nyuma juu ndio nilikuwa nme recover from stress ya kulipa loan ya matatu. Nilikua m-young but nilikuwa nmejiekelea stress za wazee.

Equity bank wana wizi mingi sana. Same month my big siz alihepeshewa 200k. Ile line yao ya equitel ilinitenda but nilisahau and i tell my story bila ku feel any. My major weakness…I forget easily. Na sibebi hisia.

God pia hufanya miracle zake juu alinirudishia ten times. I healed.

2 Likes

Check with your bank kwanza

Equity I heard the horror stories, I don’t even bank with them, kcb yes you’ll receive messages from conmen, but pesa nayo hawaibi,

But am 100% sure, the employees who have, customer data, leak the information to fraudulent bastards

Pole kaka

1 Like

There’s nothing to check, like the last time, when the con lady called me, then my mobile banking got blocked, I went to the utawala kcb branch, and explained, nobody even listened to me.

Banks nowadays have the shitiest employees, they don’t even care , sijui nini mbaya na hizo nugu, am guessing they dispise their jobs

2 Likes

Calabash Mbwa Koko wewe !!

1 Like

Happens hata with NCBA, those research questions.
Saw it first with Java, when you pay by mpesa immediately they would conduct that survey

Why do people still Bank with Equity? I’ve been asking myself this for the longest, but then I remembered it’s a Mt Kenya thing, I wouldn’t understand. Kina @FieldMarshal_CouchP @Lord_Wanaruona @Electronics4u @Mikymas and others would lynch me for probing too much on their home grown institution, but @Yuletapeli you can still walk into CBK and cry victim, Equity will help you recover your money ASAP, 400k ni pesa mingi sana ya kupoteza.

3 Likes

Nilipiga hesabu ya lawyers nkachoka

What lawyers are you talking about? You walk into CBK and explain your case. They will do the follow up. Then make it stink by walking into KBA with your kids in tow, sema Equity waligula pesa Yako huna hata school fees ya hao watoto. See what happens from there.

1 Like

It happened in 2018. So inawezekana. Niliboeka sana. Nowadays siweki pesa mingi kwa bank ikifika a certain amount natafuta project

1 Like