akimaliza kwetu atakuja na kwenu

wacha ni cheke mie ,wakulima wakorosho walifikiri kuwa wako salama,nimefurahi namna bilioni 200 za korosho zilivyobebwa kirahisi kama kuangusha mgomba,safi sana,wapeni salamu na wakulima wa pamba,kahawa,karanga n.k
jiwe yu njiani

Unafurahia nn sasa

Mtukufu chapa kazi mpaka wa Tanzania akili ziwarudi

Ila magu kwa sasa hana kitu maana majigambo yote Keisha.pesa ya korosho kalamba hana za kurudisha ndo sababu ya drama zote bungeni

mlipoambiwa uchumi unaanguka mlidhani dhihaka

Ngoja subsistence farmers/lumpen proletariat, class unconscious people wakome, majitu haya ndiyo yanaipa ccm kura. hayasikii! Wacha yaisome namba.

Lisu ni nabii: “akimaliza kwetu anakuja kwenu” … by Tundu Lisu

tena watakao fuata ni wa pamba maana tayar wameshaingizwa kwenye utaratibu ambao hawakuuzoea huko kanda ya ziwa wazee wanaanza kuisoma taratibu

We are a donor country, mkafikiri ukweli, ni pumba tuu, na bado, ataua kila kitu

Tingatinga breki zimekatika anafyeka kila kitu hahaha

Bado kidogo wafanyakazi wa serikali mshahara mtakuwa mnapata tarehe 40

Hmm! Yajayo yanafurahisha…

Hapo kwenye Pamba pafute

Namba kusomeka kwa wote

japo nawaonea huruma lakini sio siri hawa wakulima wa huko vijijini ndio namba moja kwa kuipigia kura CCM , acha waisome namba pesa zao zinunue bombadia na kujenga fly-over ubungo, labda 2020 watatia akili

Nina wasiwasi anaweza akakatisha pensheni kuwa achana nao wafe! Linakuja hilo, jiandaeni kisaikolojia. PENSIONERS JIANDAE

It is just a matter of time ataamuru kuchapisha noti alipie mishahara. Tunaelekea Zimbabwe ya Mugabe. It is painful; lakini ni bora ili wanaomshangilia na wale wajinga kabisa (ambao ndio mtaji wa ccm) waamke.
Kituko kingine ni eti anaongea na Mnangagwa ili kuondoa vikwazo vya biashara wakati hapa nchini kwake anaua biashara. This guy is a joke, we are now a laughing stock. Thanks to him

Wajiandae mara ngapi? Kuna watu wamestaafu 2016 hawajapata mafao yao. Unadhani kisa cha kuunganisha mifuko ya pensheni ni nini?

Huyu amekuja kuuwa kila kitu…
Muda utaongea.

Mwinyi alisema kweli huyu alifaa kuwa mnyapala wa Barbara nafasi mliyompa it’s to big.