shusheni nondo izo bila woga na aibu
Mh
shemeji hulali
Nitalala muda s mref
Bado tu hawajakuja?
Tupia kapicha basi
mie sio muhusika
Wengi wanaogopa kusema wameombwa mtandao pendwa
Unaweza ukaanza hata wewe kwa niaba yao
Umeyajuaje haya
Kunizungusha gesti zote za mji ilihali anakwake…hakutaka nipajue…
Sasa nimeolewa nakula rahaaaaa…
Kazi yangu…malalamiko ni mengi sana,hapa usharikani tunapata sana hizo kesi
Ukuje tukumbushie…haha
Oh sawa
Akuu…
Guest kuna raha yake bana…haswa ikifika ule mda wakuachia chumba
Ha ha haaa…
hahahahahaha huku sitaki nataka kibao moyoni
zile za sijui nimpe sijui nisimpe
kuna mmoja huyo alikua akikaa na shoga zake wakimuambia tu bwana angu kanipeleka gesti fulani basi lazima nitafutwe niambiwe namie nataka unipeleke iyo gesti wenzangu wameniambia ni nzuri sana mule ndani
:D:D:D