Dagaa wa urefu gani wanaruhusiwa kuliwa?

Jana tumeshuhudia maafisa wa uvuvi wakivamia jiko la mgahawa uliopo bungeni wakiwa na rula kupima urefu wa samaki na kumpiga faini mmiliki wa mgahawa huo.
Leo nina ratiba ya kula dagaa, tayari nina rula yangu, naombeni kujua size ya dagaa inayohitajika ili niepuke faini zakizembe.

Yaani size anazo Mpina na nduguye Magufuli

Mpigie simu Mpina atakuelekeza ndio upike la sivyo keko inakuhusu

Duh

ahahahahahahaha beba tapemeasure Mkuu!

Hahahaaaa

Yeah, Na ukienda Sokoni kununua Samaki usisahau RULA

Kweli kila nchi ina mashida zake. This is what keeps enforcement authorities awake?

Inasikitisha sana…

Mambo mengine yanatia aibu sana, ukiona hivyo ujue kuna jambo au mambo wanataka yapite kimya kimya… waashaharibu au kuvurunda hivyo…

Cc: @Mahondaw

Ingekuwa comedy ingekuwa very funny. Unfortunately kuna watu wanaojiita viongozi wameona kuwa- of all issues that need to be tackled in the fishing industry in the country- kupima samaki kwa rula ndio jambo la kufanya.

Alipoingia madarakani Sizonje moja ya drama zake ilikuwa kupiga marufuku kununua greeting cards. Habari hii iliandikwa hadi kwenye gazeti moja la USA (nimelisahau jina). Watu walisifia kuwa Magufuli anapewa sifa hadi Marekani bila kugundua kuwa hiyo habari iliandikwa sarcastically. How much would you save by way of cost-cutting by not spending on greeting cards (ambayo value yake ni intrinsic na inaweza ikakufanya ukakosa investments ya millions of dollars) huku ukitumia mabilioni ya dola kwenye “miradi” isiyokuwa na uhakika wa kuzalisha faida?

Naamini kuwa kuanzia kipindi hicho wenye akili zao walishajua kuwa a highly incompetent character (kama sio schizophrenic) kapewa madaraka Tanzania.

Mkuu kwa nondo hizi ukienda tuzungumzeforum.com ni lazima ule life ban maana huko akina Jenister Mhagama na Polepole ndio Mods. Ishia hukuhuku kwenye forum ya uchochezi.

hahahahaha

Hee…umegeuka kingfisher?

Magu na rafiki yake mpina wana majibu yako

Ujinga mtupu wamefanya

huu ni upotoshaji jamani khaaa

!
!
Dagaa Hawaruhusiwi Hebu Achana Nao.

Acha Tu Ndugu Ni msoto kwa kwenda mbele

Ule ni mtego. Eti wanakaribisha kabisa na waliotoka JF!! Pambaf zao

Wanajitahidi kutengeneza online platform ya matahira, ila hawatowapata wenye uelewa wa Mambo.