Waooh welcome wakuu.
Nipo hapa hapa mkuu
Hahaaa tupieni madude huku
Nimemwambia Demiss ajiunge tumsubiri atuletee mambo
Ngoja tuwasubiri wakina MoneyPenny
Hatimaye tumefika!
Karibu sana mkuu.
DEMISS BABY
Pole pole tutaelewa tu
Tutaisoma namba.
Tukija kwa Majina yetu ya JF itapendeza sana mkuu ili tutambaune mapema.
Au mnataka tumilikishane wabebezi wapya huku, hahahhaaaaa
Hahahahahha nahamia kenya
Aiseeee toto ya kisiiii
Mnapaonaje uhamishoni wakuu ? Poleni kwa safari lakini
:p:p:p:p:p:p:p:p
Hii tunaita kupambana na hali zetu.
Naona huku ugenini mahema yashajengwa tayari sasa tunajichagulia pa kuketi tu
Na kwa kuwa miundombinu ya chakula mara nyingi huwa inakua haijawa tayari kwa vyakula vilivyozoeleka, basi leo tutapata uji. Nimeandaa BAKULI hapa bila kujali kama utaratibu ni kukinga kikombe ama la.
Vyovyote tu kikubwa kifike kinywani
Mara paaap tumehamia Kenya …maisha haya!!!
Wangetuwahisha kidogo tu basi tungekuja na Simba, Yanga na Singida United kwenye yale mashindano yaliyofanyika ‘‘hapa’’ dhidi ya Kakamega na kariobangi…