Mshahara imeingia na ni friday…shida tupu.saa zingine kulipwa mapema ni noma.banks na insurance ndio ulipa hii mapema …guess niko field gani.tribeka ndaaaaaani.tukianzia ulevi sacco.lazima leo nikaue mtu hapa.kuna madem wageni hapa trieka na wako poa niaje.
Kwani nimeanza kulewa …
sihitaji kukumbusha picha ni lazima
Inakam mida yake.wacha nilewe kiasi mkubwa
Uko NGO?
Umesahau kusema kuna ma single mother pia
No sir
bila mbicha tumekataa ujinga na usiokote picha kilimani mums utuwekee hapa
Single mums walitukosea wapi majamaneni.hapa kwa kweli ndio wamejaa na potty zao.lazima niguze matako hapa walai.wacha poison ishike
Hahaha.pukusu jinga utalamba jemisoni
Vile wamesema hapo juu
Hukupata memo malanye walihamia tribeca?
Kumbuka kulipa
na usisahau kudara waiter rasa meanwile wacha ningoje 25th asubuhi
umbwaaa hebu wekea sisi momo mecho ingare saidi
Usinyonye loop of henle!
[ATTACH=full]159129[/ATTACH] 
[ATTACH=full]159130[/ATTACH]
Wacha niende nikasaidie kulea watoto wa Kunguru pale Liddos na hii 30k salo. Msupa alinipatia ultimatum ati kama namtaka kama girlfriend nimshow. Ati, “Do you love me deno?”
I said only partly. I only love my bed and my momma, I am sorry.
Rudi Kahawa uka-bid wacha kusumbua
hiyo petty cash ya ofisi usisahau kununa maziwa ya kampuni on Monday