HAVE YOU EVER BEEN SLAPPED IN PUBLIC?

#1
leta heka what happened next?

1.scenario one, sparta was in primary school, parade on a friday watu wanaimba national anthem naye sparta ni story tu na vicheko na mabeste, mr kahoro the teacher on duty after the ANTHEM akatuita pale mbele ya chuo..and made an example of us..niliwekelewa slap ikanipataa unaware,nikaa skiaa tu ti ii ii ii ii ii, l almost fell down, nilikuwa naona marudu rudu (stars) as l was confused what just happened mr kahoro told me to piga magoti>> l just wanted to call him ******* and kick his nuts and run away... ata before nimalize kufikiria akaniwekelwa another slap, apo ndio l shouted GUI INO, as l walked down the stairs apo parade...

he shouted Timothy RUDI apa, l just walked out hadi nje ya gate, nikaenda home crying like a sissy.

sasa kufika home still crying like a little bitch, home sikupataa mtu nikadecide kutoa uniform as l look for something to eat, kumbe my granpa aliniona niki ingia..akakuja kuniuliza nini nafanya nyumbani saa hii, nikamshow vile kume enda, akadai kai mwarimu ena ngoma,(is the teacher mad)
sasa akanishow nivae uniform turudi shule:eek:

uyo sparta na granpa hadi kamuiru primary school, sasa as we were walking akipatana na mtu anajuwa anamshow vile anaenda vita juu granson wake amepigwa... l knew kitaumana tukifika shule..

now opposite kamuiru primary there is a local shop called HA WA MONI ... the lady saw us and asked nikee kiuru... granpa narrated vile uyo mwalimu atajuwa yeye ni nani?

kufika shule class was in session so tukaenda kwa headmaster mr. KINUTHIA
granpa ali ingia ready to fight the headmaster, nikee muroria mwana wakwa?

headteacher na vile alikuwa thitima ali ingiza mkia kwa mguu, trying to defend himself in a corner, tulia mzee tuongee....

apo nikaitwa nikashow granpa sio uyu ni mr, kahoro alinipiga kofi mbili:D

sasa the irony the headteacher told me go and call mr. kahoro:eek::mad:
l was scared coz l rem l called him GUI INO earlier o_O

l declined kuenda, the headteacher aka enda called a random student in class to go fetch mr. kahoro

kahoro alifika ameniangalia na macho kodo

granpa akaniuliza ni uyu? nikajibu eeeh niwe :mad:

kahoro alifika amepatia mzee mkono ya salamu,mzee aka anzana nayeye mbona unapiga mtoto kama mwizi:mad: kahoro kujaribu kuexplain aliwekelewa fimbo ya mgongo,headteacher naye akikuja rescue akawekelewa moja...nduru ya secretary and some few teachers came in to the rescue...
mzee ilibidii police wakuje na chief karomo akapelekwa apo kihara police station, mimi nika ambiwa l go to class kwanza:confused:

later nikakujiwa hadi staffroom told to lie down....walimu waka deliberate wakanipea punishment ya kuosha stairs sikuchapwa...

jioni kufika home napataa granpa akimeza ka muratina amerelax, aliniuliza swali moja ..wamekuchapa tena?
nikajibu NO SIR:) akajibu NI DIEDAGA WANA:D

From that day mr.kahoro alikuwa tu ananionea lakini hakuwai nichapa kofi tena
and l made sure nikichapwa granpa asijuwe juu yeye siwezi takaa akuje shule tena...

WA MONI SHOP IS STILL THERE TILL TODAY :eek:
 
D

Deorro

Guest
#17
:D:Dkwani hukuwa unapenda home kaka:eek:

Mimi huwa sipendi uchokozi but when provoked sichezi na mtu. kuna some boy who kept trting to bully me hadi day fulani nikasema enough is enough na kudeclare war on him, vita kuanza nilitwanga mtoi wa mtu hadi akaanza kunose bleed, walimu had to be called to help him with his injuries, mwalimu akasema lazima niende home niite wazazi, i begged her anichape viboko kadhaa juu nyumbani ile vita ningeona inashinda battle of Okinawa. my parents kwa discipline hawachezi na mtu
 
#18
That's not being tough, it's being reckless.
You just don't go assaulting teachers and causing a ruckus in school coz a spoilt brats who was clearly in the wrong was disciplined.
That is totally unacceptable.
kunywa konyagi utuliye @Mathaais
Mimi huwa sipendi uchokozi but when provoked sichezi na mtu. kuna some boy who kept trting to bully me hadi day fulani nikasema enough is enough na kudeclare war on him, vita kuanza nilitwanga mtoi wa mtu hadi akaanza kunose bleed, walimu had to be called to help him with his injuries, mwalimu akasema lazima niende home niite wazazi, i begged her anichape viboko kadhaa juu nyumbani ile vita ningeona inashinda battle of Okinawa. my parents kwa discipline hawachezi na mtu
paro wako either one is teacher ama doctor ama in the force hao ndio hupenda kukanyagaa mtoto kama ni mwizi
 
manana

Village Elder
#19
leta heka what happened next?

1.scenario one, sparta was in primary school, parade on a friday watu wanaimba national anthem naye sparta ni story tu na vicheko na mabeste, mr kahoro the teacher on duty after the ANTHEM akatuita pale mbele ya chuo..and made an example of us..niliwekelewa slap ikanipataa unaware,nikaa skiaa tu ti ii ii ii ii ii, l almost fell down, nilikuwa naona marudu rudu (stars) as l was confused what just happened mr kahoro told me to piga magoti>> l just wanted to call him ******* and kick his nuts and run away... ata before nimalize kufikiria akaniwekelwa another slap, apo ndio l shouted GUI INO, as l walked down the stairs apo parade...

he shouted Timothy RUDI apa, l just walked out hadi nje ya gate, nikaenda home crying like a sissy.

sasa kufika home still crying like a little bitch, home sikupataa mtu nikadecide kutoa uniform as l look for something to eat, kumbe my granpa aliniona niki ingia..akakuja kuniuliza nini nafanya nyumbani saa hii, nikamshow vile kume enda, akadai kai mwarimu ena ngoma,(is the teacher mad)
sasa akanishow nivae uniform turudi shule:eek:

uyo sparta na granpa hadi kamuiru primary school, sasa as we were walking akipatana na mtu anajuwa anamshow vile anaenda vita juu granson wake amepigwa... l knew kitaumana tukifika shule..

now opposite kamuiru primary there is a local shop called HA WA MONI ... the lady saw us and asked nikee kiuru... granpa narrated vile uyo mwalimu atajuwa yeye ni nani?

kufika shule class was in session so tukaenda kwa headmaster mr. KINUTHIA
granpa ali ingia ready to fight the headmaster, nikee muroria mwana wakwa?

headteacher na vile alikuwa thitima ali ingiza mkia kwa mguu, trying to defend himself in a corner, tulia mzee tuongee....

apo nikaitwa nikashow granpa sio uyu ni mr, kahoro alinipiga kofi mbili:D

sasa the irony the headteacher told me go and call mr. kahoro:eek::mad:
l was scared coz l rem l called him GUI INO earlier o_O

l declined kuenda, the headteacher aka enda called a random student in class to go fetch mr. kahoro

kahoro alifika ameniangalia na macho kodo

granpa akaniuliza ni uyu? nikajibu eeeh niwe :mad:

kahoro alifika amepatia mzee mkono ya salamu,mzee aka anzana nayeye mbona unapiga mtoto kama mwizi:mad: kahoro kujaribu kuexplain aliwekelewa fimbo ya mgongo,headteacher naye akikuja rescue akawekelewa moja...nduru ya secretary and some few teachers came in to the rescue...
mzee ilibidii police wakuje na chief karomo akapelekwa apo kihara police station, mimi nika ambiwa l go to class kwanza:confused:

later nikakujiwa hadi staffroom told to lie down....walimu waka deliberate wakanipea punishment ya kuosha stairs sikuchapwa...

jioni kufika home napataa granpa akimeza ka muratina amerelax, aliniuliza swali moja ..wamekuchapa tena?
nikajibu NO SIR:) akajibu NI DIEDAGA WANA:D

From that day mr.kahoro alikuwa tu ananionea lakini hakuwai nichapa kofi tena
and l made sure nikichapwa granpa asijuwe juu yeye siwezi takaa akuje shule tena...

WA MONI SHOP IS STILL THERE TILL TODAY :eek:
:D:Dkwani hukuwa unapenda home kaka:eek:
Tommywewe ni wa Kihara na ulisomea Bano.. Hehehehe Mbari ya kihara
 
Top