Head ache

Status
Not open for further replies.

mabenda4

Village Elder
#1
Sasa jana, i was out shopping for a solvent.....u know.....ya ku dilute my Friday Viceroy. Nikaingia hapo Naivas next nikachukua Cider inaitwa Savanah. Very sweet thing. Nikaichapa fifty fifty na viceroy quarter. Slept like a kangaroo baby.
Trouble is, Niko na hangover inatoshana matter core ya Mrs Muriithi. Kichwa inauma kama d*ck ya Kirui......na ninaona marundu rundu. Pia niko na Hicups every six minutes. Mdomo imekauka mbaya. Naskia siurura kwa mbali. My right eye is watery. Sijui itakuaje
 
Young

Village Elder
#5

:D:D:D:D:D

index-1.jpg

Fits the description perfectly!
 
kasaman

Village Elder
#6
Sasa jana, i was out shopping for a solvent.....u know.....ya ku dilute my Friday Viceroy. Nikaingia hapo Naivas next nikachukua Cider inaitwa Savanah. Very sweet thing. Nikaichapa fifty fifty na viceroy quarter. Slept like a kangaroo baby.
Trouble is, Niko na hangover inatoshana matter core ya Mrs Muriithi. Kichwa inauma kama d*ck ya Kirui......na ninaona marundu rundu. Pia niko na Hicups every six minutes. Mdomo imekauka mbaya. Naskia siurura kwa mbali. My right eye is watery. Sijui itakuaje
You poisoned yourself ? Kunyua maji bro. Lots of water
 
kender9

Village Elder
#8
Last week niliambua kiasi pale Mama Ngina, kidogo kidogo fisilet ingine half jadhe half kyuk ikajileta ikakaa kwa bench, but nilijua tu imeletwa tu na ushiny eye in her cos iliona no. za gari na zile sticker za kencont(hapo kwingine ni hekaya for another.)
Fast forward 3 hours, niko homeground area ya Tononoka Club Savannah naibuiya tei na nyama, ikanisho nikunywe energy drink ile ya Azam ya 50 bob, sema kuumwa na kichwa since then ile ya migraine.
 
vuja de

Village Sponsor
#14

Ulikamua?
 
Status
Not open for further replies.