Hii huu mtandao una app

Jmn mwenye link ya kupata app
Ya huu mtandao anisaidie

Maana huko ndo kumbilio
Letu Sasa Jf yetu OG cjui
Itarud lin

Tumia web tu mkuu, huku mambo ya app hawayajui…

my beby umekujaaa…nilikumiss hatar

Yaan tunaona uvivu hata kuingia sababu hakuna app waweke app jamani

Wameshakwambia ni kijijini huku hivyo mambo ya Apps bado hayajafika.

Duh even you upo huku!!

Nipo mm mbona umeshangaa kuniona

Naona hauna

App kijijini sidhani

aiseeeee

Ngoja wengine tuwe wapenzi waku-like tuu huku…

Hahhaha shoga angu nimeona likes zako nacheka mwenyewe yaan kunatia uvivu huku

Watuwekee app basii jomonii…

Hawajui tu tunavyopata shida watuchangishe hata michango basi

Hahahahahaa bora nikalewe tuu…unawajua unawaskia??hihihihiii

Hahahah kwenye kutuchangisha ni kwamba watatutapeli au vipi

app muhimu @Shunie

Unazinguaa…mm thijathema hivo mm

Binamu jamani kumbe umekuja

Mfyuuu kwahiyo ulimaamishaje eti