Hii inaitwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni

"Tulikutana Gongo la Mboto na baba mtoto huyu alikuwa anafanya kazi kampuni ya Hygen walikuwa wanajenga nyumba za wanajeshi sasa hizo nyumba zimekwisha, aliondoka hapa Tanzania baada ya kibali chake kuisha, wakati anaondoka nilikuwa na imani kuwa hata mimi atanikumbuka lakini mpaka sasa hivi hakuna mawasiliano wala jambo lolote linaloendelea, huyu mtoto saizi ana miaka miwili na miezi mitatu, kipindi napata ujauzito mpaka najifungua alikuwa ananitunza vizuri tu ila alipoondoka tu ndiyo sina mawasiliano naye " Safina Mohamed

Una mshauri nini huyu dada Safina kwa hili.
[ATTACH=full]177553[/ATTACH]

Alee mwanawe

Apambane na hali yake tu kwa kweli au amwambie DAB ampeleke kwa baba mtoto wake

Aende china

Hapo hamna ujanja zaidi ya kulea mwanae

kwakweli ukistaajabu ya musa… ya firauni yanatokezea kwa mbele

Cc @Smart911

Upo?

nilipoona tu jina lake nikajua ni walewale wadada wa pwani wanaopenda kitonga na kichwani hamna kitu

Mchuma Janga…

Nae aliolewa na Mchina ,mtaani walimkoma itakua ,sasa apambane na hali yake

Achague kujipanga upya na kulea mwanae tu hakuna jinsi

sana full kuwatambia

Na mswahili alivyo na akili fupi ,usikute anaamini karogwa na majirani/mashoga /Ndugu zake

Anahangaika kwa waganga

Hiyo tena

Mkuu umenifurahisha kweli

Mchuma janga hula na wa kwao

Hahaha wa bongo tena,hasa hao wauswazi ndio mawazo yao

Duuh

Alidhani anajua, mwishowe ikawa hajui.