hii mambo ya ghosts mombasa huwa kweli ama chocha, i have never been

nimesikia mambo mingi

Ukweli kabisa.
Kaambiwa story mimi na mtu wa mombasa ambaye gukake alikuwa mchawi

Pia hii ni ghost ?

Only “ghosts” najua ni zile normal size cats zenye zikikanyanga mabati yako unaskia ni kama mtu anapita hapo because of the weight.

Ghost kitu gani?. Leteni evidence. Bure kabisa. Ngombe ici

Ghost stories zikuje

Ghosts are very real. Our declining spiritual awareness makes us more blind to observe them. Vile unaendanga gym upate muscles, hivo ndio unafaa kuexercise spirituality to just get a glimpse of things in that realm.

@ChifuMbitika alileta hekaya hapa ya jini alikuwa na mimba

True dat rasta

Story za Jana hizi. My father was accused by villagers of having bought female majinis from the Coast that is why,unlike them, he had money. Yaani watu walikuwa wakipita karibu na shamba zetu mbio ajab. They also said that he was sacrificing villagers in late1990s and early 2000s. Kumbe nugus were dying in numbers due to AIDS! Wajinga

What I find intriguing with such stories is that every story recounts what happened to somebody else, but never has a person come forth and said it happened to them personally.

Did their accusations stop?
Halafu niko sure you were ostracized vibaya sana as a kid.

The accusations actually did evaporate as the very neighbours started accruing some money. The built better houses and bought better cars. So I guess it was just ignorance. As kids, it was tough but we all went to boarding schools far away from home. So we rarely mingled with the village kids.

Upuss.

Hizi vitu ni real kaka.
Kuna dame tulikuwa naye shule.
Alikuwa anasikia kitu imekalia bed usiku but akiangalia haoni kitu

I can relate to that:Dmajini, kurogwa, ghosts and uchawi are brought about by ignorance and poverty. As a society becomes more educated and umaskini declines these things are easily forgotten.

True that. Imagine a grown up believing that kwetu kuna paka inaongea. Ati mzae amechimbia pesa kwa barabara ya 5 kilometres :D:D:D:D

Leta hekaya mwafaka tafasali

:D:D:D:D

She was experiencing sleep paralysis. I’ve experienced it countless times. how it feels: It’s like you’re paralyzed or being held down by the evil presence. Unapiga mayowe haisikiki, you try to move lakini ole wako. Inarudi inaisha, siku yakwanza nili feel hii stuff ni 21 January 2007. Ilinisumbua karibu mwaka mzima hadi nkaacha kuiogopa. Maybe ni evil spirit that feeds on fear, ukiogopa inakam…[maybe]

Kitu kama hii hapa chini.

[ATTACH=full]481243[/ATTACH]

[ATTACH=full]481242[/ATTACH]