Hiki kizazi kina shida mahala vile mademu wako desperate na kuolewa sijui tatizo nini, Yaani kama hujaitwa mume basi jua hujatongoza demu hivi karibuni…
Unatongoza asubuhi halafu kidogokidogo hivi jioni ikifika anakutext, “Umekula mume wangu”.
Hahaha
Naona mmeyachoka mapenzi! We kama hutaki kuitwa mume mwambie ukweli!
Achana na hiyo ya “Mme wangu” mwenzio niliandikiwa “umeamkaje babangu”
Ila kiukweli sio anakuwa yuko desperate na kuolewa bali kuna kitu kakiona kwako na ameona unamfaa kuwa Mumewe.
Una future, hii inatokeaga aje gheto akute una kitanda, kochi , kajiko kagesi, katv n.k.
Ha ha haa…bado kidogo atakwambia njoo kwetu ujitambulishe…wanalazimisha hao…
vumilieni tu hakuna namna
Anataka kukupiga pesa uyo anakutafutia timing. Ila ni kweli aisee tena mwingine hata hamna uhusiano ila ana force kukuita mume
ha ha ha ha ha aaaaaaaaaa nicheke mim
afu unakuta mpo ka sita wote anawaita mme wangu…!
Hahahaha nyie wanaume sijui mpendwe vipi
Hawataki mahaba
Fast track love affair…
Labda
Hahahah kwanini walazimishe?
Namna lazima iwepo
Huyo ndio anataka kukupiga mzinga mkuu
Itakua kakuona unapesa…
Tupendwe kawaida tu
Hayo mahaba ya mtongozo asubuhi then jioni Mme wangu…hayo hatutaki…things are not easy like that
Hata nyie mnatuita mke wangu,mama yangu…wakati tunajua kabisa tunadanganywa.
Hahah!! Nafsi ya mwanadamu haijaumbiwa kuridhika