Habari zenu wakuu, bila shaka hamjambo huku kuna fursa mpya ambayo nataka niiweke wazi kwenu
Mapema mwezi huu, Ni matumaini yangu kuwa tutaichangamkia.
Ipi hiyo?
iletee
ilete mkuu
Aiseeee
Ukiona waitiwa fursa kaa chonjo.
Halafu wewe ni ontario mwenyewe ama tu umeamua kutumia id ya wenyewe?
Iweke wazi
ontario yuleyule au ni sir name tu
Labda ni ile forex
Mmh! Forex tena.
ndo maana kigugumizi, utaona tu
loading…
Kwanin usingesubiri mpaka ikifika huo muda uliopanga uilete ndio uje ututangazie??
Haaaahaaa karibu
Ukiona unaambiwa kuhusu fursa ujue wewe ndio fursa mamae
wale wàle waliotoroka na id
Tapeli Ontario kwa mara nyingine tena ukiona umeitwa kwenye fursa we ndo fursa yenyewe
Mia kwa mia Mkuu
100 kwa 100 Kaka
Hahah!! Aiseee