House hunting

#1
Lately I have been house hunting na nataka nianze maisha independently. My budget is a house that goes for 15k a month and a one bedroom. I have found a few and they are as follows:

-Donnie I got one that was what I was exactly looking for but it was going for 18k. I cant compromise on my budget. Kuulizia @under23 kama naeza pata ya 15k akaniambia nimechelewa izo zishaenda zote na hakuna dalili ya mtu kuhama saa hii.
-In Ummoh nilipata 1 bedroom moja unaenda for 13k lakini huko niliogopa sana. Security wise huko naona nikipeleka Allion ya kampuni niamke asubuhi nipate haina side mirrors na tyre. Nikachorea. Na huko imekaa kukuwa congested sana.
-Buru nayo zii. 1 bedroom houses are fucking expensive. 20k nikaachia hapo.
-Kasa nilipata moja huko pia ilipose security threat kama ya Ummoh. Na imejaa mavijana wengi wanakaa kuchapa tu madre.
-Uthiru. I found one that was amazing. It was way better kuliko ile ya Donnie. The problem niliona ni kutakuwa na shida kubwa sana wakati wa mvua coz the place doent have tarmacked roads and the roads dont have murram either.
-Ngong road. Huku nimepata one going for 15k hapo almost na Lenana School. Its what i want. very secure. has WiFi. Has clean water. Is nearer to the main road and the road is tarmacked. Has enough parking. its near some forest. Hewa ni safi. Shida ni the kitchen area imeshikana na sitting room yaani ukifungua mlango unapatana na kitchen area ukienda mbele kidogo unapatana na sitting room. alafu pia bafu na choo zimeshikana unlike others zenye bafu na choo ziko kando kando kivyake. but i can live with that.

Saa hii nataka kudeliver kitu flani huko the hub alafu nikirudi niingie nicheki hiyo keja. Hopefully hii Sato naeza hamia huko. Wale wa hama kwa mathe watafunga mdomo sasa..

Makofi kwangu for that achievement.
 
M

Mrs Shosho

Guest
#2

Well done you. Ngong Rd is a winner. Siku hizi tunaenda na open plan. Kitchen is living room and toilet is bathroom too. I will be vorrowing your settling down manenos.
 
smokin_gun

Village Elder
#7
Rongai ukipata 1 bedroom na 15k ni kubwa sana zingine zikona mpaka bathtub kwa bathroom. Ata Kitengela.
Side za Athi River tena kuna nyumba mzuri sana.
 
byro

Village Elder
#11
Well done you. Ngong Rd is a winner. Siku hizi tunaenda na open plan. Kitchen is living room and toilet is bathroom too. I will be vorrowing your settling down manenos.
Open plan is nice till you try it out. Many clients am working with are going back to the old kitchen design due to privacy and hygienic nature. For a bachelor like the Uber driver @tall mnyama everywhere ,that's a nice unit.
 
#13
Lately I have been house hunting na nataka nianze maisha independently. My budget is a house that goes for 15k a month and a one bedroom. I have found a few and they are as follows:

-Donnie I got one that was what I was exactly looking for but it was going for 18k. I cant compromise on my budget. Kuulizia @under23 kama naeza pata ya 15k akaniambia nimechelewa izo zishaenda zote na hakuna dalili ya mtu kuhama saa hii.
-In Ummoh nilipata 1 bedroom moja unaenda for 13k lakini huko niliogopa sana. Security wise huko naona nikipeleka Allion ya kampuni niamke asubuhi nipate haina side mirrors na tyre. Nikachorea. Na huko imekaa kukuwa congested sana.
-Buru nayo zii. 1 bedroom houses are fucking expensive. 20k nikaachia hapo.
-Kasa nilipata moja huko pia ilipose security threat kama ya Ummoh. Na imejaa mavijana wengi wanakaa kuchapa tu madre.
-Uthiru. I found one that was amazing. It was way better kuliko ile ya Donnie. The problem niliona ni kutakuwa na shida kubwa sana wakati wa mvua coz the place doent have tarmacked roads and the roads dont have murram either.
-Ngong road. Huku nimepata one going for 15k hapo almost na Lenana School. Its what i want. very secure. has WiFi. Has clean water. Is nearer to the main road and the road is tarmacked. Has enough parking. its near some forest. Hewa ni safi. Shida ni the kitchen area imeshikana na sitting room yaani ukifungua mlango unapatana na kitchen area ukienda mbele kidogo unapatana na sitting room. alafu pia bafu na choo zimeshikana unlike others zenye bafu na choo ziko kando kando kivyake. but i can live with that.

Saa hii nataka kudeliver kitu flani huko the hub alafu nikirudi niingie nicheki hiyo keja. Hopefully hii Sato naeza hamia huko. Wale wa hama kwa mathe watafunga mdomo sasa..

Makofi kwangu for that achievement.
Madhe atalipa umuondokee na kalaptop kako
 
M

Mrs Shosho

Guest
#16
Open plan is nice till you try it out. Many clients am working with are going back to the old kitchen design due to privacy and hygienic nature. For a bachelor like the Uber driver @tall mnyama everywhere ,that's a nice unit.
I believe in open plan kitchen/living room. One just needs to be super tidy which is how it should be. Maybe hapo kwa bathroom and toilet. I have lived in both situations.

Nataka kufuatilia Mnyama's big move. I fuatad denis young as he moved into his digs and furnished it from scratch. I cannot wait kuenda kwake, sit on his sofas, watch the EPL and use wifi....meet his 1gb(S). That will be so much fun.
 
#17

Was just about to open my big mouth...nikaogopa :D:D
 
Bhai

Village Elder
#19
I believe in open plan kitchen/living room. One just needs to be super tidy which is how it should be. Maybe hapo kwa bathroom and toilet. I have lived in both situations.

Nataka kufuatilia Mnyama's big move. I fuatad denis young as he moved into his digs and furnished it from scratch. I cannot wait kuenda kwake, sit on his sofas, watch the EPL and use wifi....meet his 1gb(S). That will be so much fun.
You trust too much, Denis is just another broke ktalk billionaire whose rich fantasy's are very inconsistent
 
Top