HUSTLING HARD

Kirwa

Village Elder
#1
Hii mvua nayo imezidi but job lazima ifanywe.mnakumbuka ile job niliangukia kujenga gorofa tano,napelekwa mbio kama gari za miraa na huyo client maze mpaka naona ni kama nyumba inaweza anguka.
Now we're on the third floor na jamaa anataka ati by 22 dec nikue nimekoroga slab tano which is impossible.Mvua nayo ndio hiyo,kwanza kama leo job haifanyiki. I pity my workers,nimewapea kipimo nakuwashow hailali.Enyewe kuwa mwanaume ni noma.Shida ya hawa watu I pay them daily but kesho mtu akikam hana any, raha zimekua mingi.Mimi nashukuru mola watu wakilia Hamna pesa mimi zinaingia bila wasiwasi.
IMG_20171114_123041.jpg IMG_20171114_123034.jpg IMG_20171114_103619.jpg
 
vanadium

Village Elder
#11
Gorofa tano should be a full fledged framed structure. Hii mambo ya kienyeji masonry construction si mazuri.

How will your doomed structure withstand lateral lods?

This must be pipeline estate.
 
Tom Bayeye

Kinyozi wa Stima Jebedeyo
#13
Hii mvua nayo imezidi but job lazima ifanywe.mnakumbuka ile job niliangukia kujenga gorofa tano,napelekwa mbio kama gari za miraa na huyo client maze mpaka naona ni kama nyumba inaweza anguka.
Now we're on the third floor na jamaa anataka ati by 22 dec nikue nimekoroga slab tano which is impossible.Mvua nayo ndio hiyo,kwanza kama leo job haifanyiki. I pity my workers,nimewapea kipimo nakuwashow hailali.Enyewe kuwa mwanaume ni noma.Shida ya hawa watu I pay them daily but kesho mtu akikam hana any, raha zimekua mingi.Mimi nashukuru mola watu wakilia Hamna pesa mimi zinaingia bila wasiwasi.
View attachment 138974 View attachment 138975 View attachment 138976
nakuona na hio infinix note 2 kando kando hapo
 
M

Miss Finest Wine

Guest
#14
Anyways @Kirwa I regard you as vvv level headed so I know you will do the right thing. My bro in law is in your side industry so I can understand the frustration but there should be no compromising. Don't be harakishwad. Huyu wetu anakaaa ngumu sana. From the building, you are well on your way but if you need some help, can introduce you to him.

I am also calling on birrionaire @nairobilay....he is well versed na hii maneno sana sana. Apart from begging for ..........he lays pipes for real. Kikikikiki
 
spear

Village Sponsor
#16
Lucky you, I for one is just draining the savings. Biz is down, people in the office are just spinning around in their chairs. Its only next week when some concrete work can start. Right now everyone is free to take time off and be with family.
 
Top