Imeanza..

Hangovers zitakua nursed on sunday…karibuni
[ATTACH=full]25096[/ATTACH]
[ATTACH=full]25098[/ATTACH]

2 Likes

:D:D:D:D
wapi new villagers waamini Ktalk ni ya millionaires

4 Likes

Hii chrismas lazima tuende Ethiopia…sema ngwe ngwe nikuletee side dish @Lord Bailesh

[SIZE=4] [/SIZE]
[ATTACH=full]25101[/ATTACH]

5 Likes

Ngwe ,ngwe!

1 Like

Ngwe niletee momo ya Ethiopia nikule kama mod

1 Like

[ATTACH=full]25105[/ATTACH]

1 Like

Mfuko umejaa ndovu… Twende wapi leo?

[ATTACH=full]25106[/ATTACH]

1 Like

momo zao ziko sawa…kuna moja nilikamua last month na hadi wa leo bado naskia utamu…picha na findio available…hehe…
hiyo order nitajaza kaka

1 Like

Ni mimi tu sijapata share yangu ya Eurobond :(:(:(:frowning:

2 Likes

Na watu wanasema Mbogo is fake…he is a Ktalker dreamers

http://i.imgur.com/T6nDtJl.jpg

iyo ni ya nys tu bado hawajatuonyesha za eurobond!

Kwa hivyo no Mimi tu nimesota. . . . .

1 Like

Nimesota pia, hii can ni cheap na hulewesha haraka…I prefer it as it gets me high fast and saves me money

Eeeeh sina habari hiyo na can ya nini. . . . .

Nitakushow tu, wewe tokelezea…tushtuane inbox

http://007

Khai fafa!!! I feel poorer already

1 Like

:D:D:D:D:D

1 Like

eeeeeish…Ktalk yaweza fanya msee alale na stress vibaya sana,

2 Likes