Jamaa Amehema Sana Akitetea Nyama Ya Naivas

#1
Naivas haikutajwa lakini birrionaire ashafungulia media mpaka processing plant. Hii base inakaa ilisuguliwa properly before media ifike. Na ikaongezwa equipment mpya, naona vitu nyingi zina-shine hapo ni kama mpya. Na kila mtu akapewa overalls na boots mpya. Kitu funny ni ati hata sai with all that media glare kuna watu bado wanakamata nyama hivyo tu while others have gloves on. Maybe they're thoroughly disinfected, who knows?


Niliona comments section ya FB page ya Capirro yenye walitangaza hii "inspekshen", watu wanalia vile walisokotwa na tumbo after kula nyama ya Naivas. Wengine wanasema, "I didn't need any evidence to know Naivas was involved. Kuna siku nilikula packed food ya huko nikaendesha kwelikweli."

Fake middro crass, inakaa mnapigwa vita from all corners. Kuna siku tulieka expose ya coocoo ya magunyo, sai ni nyama. What next banaa?
 
#12
Supermarket haziendagi kichinjio....na Mara nyingi huwa wamepatia privateer space wanakula commission.
Unakumbuka ile expose that was posted here juzi about the insider who spilled the beans? He was saying the contamination is done at the supermarket before customers start coming in.

Also, why is the gava checking supermarkets instead of slaughterhouses?
 

gashwin

Village Chief
#13
Unakumbuka ile expose that was posted here juzi about the insider who spilled the beans? He was saying the contamination is done at the supermarket before customers start coming in.

Also, why is the gava checking supermarkets instead of slaughterhouses?
Even your local butchery "treats" the meat. The reason we have never died na viletunapenda nyama imelala ni kizungumkuti kwangu...kwa hivo kama utakuwa mla nyasi anza leo.
 

blueline

Village Elder
#18
The other time niliwaambia sportpesa wange-announce jackpot wakati walikuwa na mess ya tax and they did. Hawa ngojea mega sale in a week's time.
Unfortunately the hype of the mega sale will only be on radio and TV lakini kwa duka "za offer zimeisha".
' offer on varied stock' ' offer for select items' and other spins they can fathom
 
Top