Habari wakuu,
Kupotea kwa JF original kumenisononesha kwa mengi. Lakini hilo nilitotaja linanitia majonzi zaidi. Nilikua nishafika hatua nzuri sana PM, ilikua bado kuomba namba tu.
Sasa sijui itachukua muda gani tena; ukirudi itabidi nianze moja. Hii sikukuu si itabidi nianze kutafuta ma Ex.
Na nyinyi kama kitu kimewagusa kuhusu kupotea ( hasa ilivyo ghalfa), mnaweza kufunguka.
Yani mkuu na mimi kama weqe tu. Yani ile tunachat atume namba mara paaap malaika akashuka. Tulokia pm wote jamani uko Nairobi rudi tumalizie tulipoishia