Jioni Sacco

Tuko Java ya paipu tunatoa baridi na kisokorowinyo. Kama uko karibu, pitia ukunywe chai choma na mandazi surwa.

[ATTACH=full]106926[/ATTACH]

Mwisii wa mangotha @culture usikuje

[ATTACH=full]106927[/ATTACH]

Hapo Njava ni poa.
Salimia @Kihii Kiaganu.

Marry that girl @vuja de . She is umble

hahahaha.nko hapa doni nateremka na xtrail yangu but hii jam jo.acha nipitie hapo walai

KUIMBA nguo muhimu

vile @Guru amekwambia .kama huyo mdem anatumia kikombe kama hio na chapo.madze usiachilie

Naona uyo dem anadrain. Alikuwa across?

Hehe. Admission no. yako ni 65XX?

Ngoja tu @culture mangotha afike hapo na hio xtrail yake. Utabaki unajiongelesha

i

ts gud to share.nachukua zangu tu nikiondokea

Sasa umefanya kanjaa kamekam through. Naona nikipitia kibandaski pale Villa Rosa Kibandaski nijishikilie tumbo kabla kaukali kadogo ya home.

Stupid drinking mate ame tag wanawake kwa meza yetu na tumewekesha ka nguruwe,share yangu na beba ajipange na bill,mbweha sitambui.

afande wacha ungamwe na ni za macho unakula

Kasee acha umenilipia chai na rolex.Napitia saa tatu.

Nameza mdogo mdogo, hawa vijana ya 2016, wanatengeza jina na kuninulia pombe.

Hiyo rolex nimefungiwa ya supper/breakfast.

Kuja na lorry ya Swaminarayan unipe lift. Mvua imeleta matope mob leo

@culture u need to come clean bro, i respect u lkn hii tabia yako ya kumalaysia mangotha imekua too much.This is too much

:DAfisa pia hongo huuma hivi…??

Plot twist: Niliiba mbicha Twitter

[MEDIA=twitter]877394558274940928[/MEDIA]

Hehe @nyapdragon@culture mangotha ameleta compe ya udingo sio