Jokate ndiye nani na ana mahusiano gani na wakubwa?

kyekomakubi

Senior Villager
#7
Bibi mahaba niue mpaka Baba wa taifa anashindwa kulisoma jina la mama wa taifa . wahi insta vya Mange kabla hafuta
Nimeona Insta Mange kamwaga radhi, hivi haya ni kweli? Huyu baba ana mke na hawezi kwenda mitaani kumtafuta Jokate, sasa anampata wapi? Pamoja na kuwa simpendi huyu mtu , lkn nadhani hapa ni pagumu kupafikia maana hata ulinzi wake hautamruhusu!
 
Shungurui

Senior Villager
#8

Kwani hana macho, anatoa order tu, kitu kinaletwa hadi kitandani kikiwa kama kilivozaliwa, unakumbuka zile story za nduli idi amin dada, kwamba akimpenda mke wako tu, basi usishangae yakijirudia tena.
 
#13
Hmm! Kwani uliambiwa kuwa Jokate alikuwa anapatikana mtaani?...
Hiluka, hawa akina Jokate and company ni Malaya (najua unaweza usikubaliane na mimi) wako "barabarani", mtaani kutafuta washikaji hasa wenye pesa. Sasa Rais atamkuta wapi? Kuletewa siyo Rais maana kila wakati yuko beneti na walinzi, mke and those close associated by vertue of his position.
Anyway, lakini Mengi Ntuyabaliwe alimpata wapi!
 
#17

Kumbuka Jokate ni msomi na alikuwa msemaji wa UVCCM, alikuwa na fursa ya kuonana na wakubwa anytime...
 
kyekomakubi

Senior Villager
#20
Jokate amesoma na ana akili sana mengine yeye ni binadamu
akili sana unazirate vipi? mbona katika academicians sijawahi kumsikia?
Binadamu wa kukaa uchi, kukata viuno hadharani? Usimtetee kwa hayo! ana mapungufu makubwa she does not deserve to be a leader of a public office. Kwenye sanaa zake it is OK , 100%. Kuna miiko ya uongozi wa umma, kuna miiko ya Padre, kuna miiko ya Sheikh, kuna miiko ya mama na baba wa familia etc... kuna miiko pia ya usanii...
 
Top